1. MUSOBI MAGENI
MUSOBI
Mwenyekiti wa CUF
awamu ya pili (1995 – 1999),
aliyejiunga na chama cha wananchi CUF mwaka
1994
amefariki akiwa na umri wa miaka 81, amezaliwa April 01, 1931,
amefariki akiwa na umri wa miaka 81, amezaliwa April 01, 1931,
·
Wakati wa
uhai wake alipata elimu ya Msingi katika Shule ya Kakola wilayani Kwimba, na
baadae alipata elimu ya kati na Sekondari Dole iliyopo Zanzibar. Baada ya hapo
1950 alirudi wilayani Kwimba na mwaka mmoja baadae 1951 alipata kazi ya ukarani
(Area Secretary) katika Halmashuri ya Maswa, na baadae 1954 akahamia Halmashauri
ya Kwimba kama Muhasibu na mnamo 1957 akahamishiwa ukarani tena katika
Halmashauri hiyohiyo ya Kwimba hadi 1961 alipoacha kazi na kufanya shughuli za
ukulima.
·
Ilipofika
mwaka 1965 aliamua kugombea ubunge jimbo la Mwamashimba wilaya ya Kwimba,
alifanikiwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa awamu mbili hadi mwaka 1975, wakati
huo akiwa mbunge alifanikiwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Aridhi, Nyumba na
Maendeleo Mijini mwaka 1972 na aliutumikia hadi 1975, kabla hajateuliwa kuwa
mkuu wa wilaya ya Chunya mwaka 1978, wilaya ya Kahama 1983 na wilaya ya Muleba
1988 hadi 1990.
Kitaaluma, pamoja na mafunzo ya Uhasibu na Ukarani, lakini pia alibahatika kupata mafunzo ya Uandishi wa Habari katika chuo cha Cambrige University mwaka 1968 na Chuo cha Social Training Centre cha Nyegezi, mkoani Mwanza.
Kitaaluma, pamoja na mafunzo ya Uhasibu na Ukarani, lakini pia alibahatika kupata mafunzo ya Uandishi wa Habari katika chuo cha Cambrige University mwaka 1968 na Chuo cha Social Training Centre cha Nyegezi, mkoani Mwanza.
2. MASANJA FRANCIS NCHIMANI (1975-1985)
** hakuna taarifa sahihi juu ya mhusika
3. BALOZI GEORGE NHIGULA (1985-1995)
-Alikuwa mbunge wa
jimbo la kwimba (1985-1995) kwa tiketi ya CCM kipindi cha mfumo wa chama kimoja
·
Kabla ya kuwa mbunge hayati balozi
aliwahi kufanya kazi serikalini kwenye nyazifa tofauti
i.
Katibu Mkuu wa kwanza
mwafrika katika Wizara ya Kazi (1965-1966).
ii.
Aliwahi kuwa
balozi wa Tanzania katika nchi za Misri (1968-1971), Uingereza (1971-1974),
Japan (1974-1978) na India (1978-1980). Pia, aliwahi kuwa Ofisa mwandamizi
katika ubalozi wa Tanzania Marekani na alihusika kuanzisha ubalozi wa Tanzania
nchini Sweden.
4. BUJIKU PHILIP SAKILA (1995-2010)
4. BUJIKU PHILIP SAKILA (1995-2010)
-Alikuwa
mbunge wa jimbo la kwimba kwa tiketi ya CCM
ELIMU
·
Alikuwa na shahada ya elimu(BSc (Edu)) aliyoipata kwenye chuo
kikuu cha UDSM
Mheshimiwa sakila aliwahi kufanya kazi serikalini
kama ifuatavyo
i.
Mwalimu wa sekondari kati ya mwaka (1974-1993),
kabla ya kuwa mwalimu mkuu msaidizi mwaka (1993-1994). Na baadae kuwa mkuu wa
shule (1994-1995)
ii.
Naibu waziri wa elimu na utamaduni
(1997-2005)
5. SHANIF HIRAN MANSOOR (2010- mpaka sasa)
-Ni mbunge wa kuchaguliwa na wananchi jimbo la
kwimba kwa tiketi ya CCM
ELIMU
·
Mheshimiwa ana elimu ya sekondari (o-level
education) aliyosoma mwaka 1982-1985
NAFASI ZA UONGOZI ALIZOPITIA
i.
Afisa mtendaji mkuu(C.E.O) wa kampuni ya
Mansoor Industries ltd kuanzia mwaka (1998- mpaka sasa)
ii.
Mwenyekiti wa kampuni la Petroleum Importation Coodinator ltd kuanzia mwaka (sept 2011- mpaka sasa)
6. LETICIA MAGENI NYERERE (2010- Mpaka sasa)
6. LETICIA MAGENI NYERERE (2010- Mpaka sasa)
-Ni mbunge wa viti maalum wa kuteuliwa (CHADEMA)
ELIMU
·
Masters of arts in finance
(MA(finance)) aliyoisoma Corllins University, USA mwaka 2009-2011
KAZI NYINGINE ALIZOWAHI
KUFANYA
Jina la kampuni
Nafasi Mwaka
First Premier Mortgage
|
Senior Mortgage Consultant
|
2006
|
2010
|
Master Security Inc., Washington DC, USA
|
Security Screener for Federal Government Employees
|
2001
|
2005
|
Marshall Heights Community Development Organization,
Inc., Washington, DC
|
Accounting Technician, Fraud Detector
|
1999
|
2001
|
International Commercial Services Ltd, Dar Es
Salaam, Tanzania
|
Executive Director
|
1985
|
1999
|
International Commercial Services Ltd, Dar Es
Salaam, Tanzania
|
Founder &Publisher of FEMINA Women Magazine
|
1985
|
1999
|
Bowie State University, Maryland, USA
|
Independent Lecturer (Women & Politics)
|
-
|
-
|